Friday, 8 December 2017


Na; Dadil C.M
Ilikuwa wakati wa Mechi kati ya Timu ya Basketball Team Red na Team Black. wadau hawa walijitokeza Kushangilia baada ya Goli kupatikana katika Ligi ya Chuo ya Chuo ijulikanayo kama CAC League 2017.... 

COBESO Annual Competition League 2017

Classroom 2017


Na; Dadil C.M 
Wanachuo wakiwa katika moja ya Vipindi vyao Computer Lab ya Chuo Cha CBE Dodoma
Katika kujifunza zaidi Computer Knowledge katika masomo ya Biashara yanayotolewa Chuoni Hapo..

CBE Dodoma Leaders in Business Education.

Via;
COBESO Dodoma 2017/18