Wanachuo wa Diploma II wakiwa kwenye maandalizi ya mwisho kuelekea Ufunguzi wa Ligi ya Chuo Ijulikanayo kama CAC League 2017..
Katika Mechi ya Ufunguzi iliyochezwa Siku ya tar 21 Nov 2017 wanafunzi wa Diploma II Waliibuka na Ushindi Mnono wa Goli 4 dhidi ya Bachelor 1
No comments:
Post a Comment